Jambo, karibu ufini

Julkaistu September 30th, 2015 | Kirjoittanut
Yana Herrala

Kategoriassa

Mimi naitwa Sylvia kutoka Kenya. Nilipata fursa ya kusafiri na nimekuwa katika nchi ya ufini kwa muda wa miezi miwili sasa. Pengine unapanga safari ya kwenda ulaya, haswa ufini na unashangaa ama unawaza ni kipi utakacho kutana nacho huko? Leo nataka nikujuze mawili au matatu kuhusu nchi hii..

Mwanzo kabisa, ni nchi inayopendeza sana, nchi safi, usafiri wa haraka na miundo mbinu ya hali ya juu ila lugha rasmi ni kifini. Ni wachache sana wanao ongea kiingereza. Hivi itakubidi usome kifini ili uweze kumudu maisha yako hapa.

Ukipatwa na tatizo lolote, polisi ni rafiki yako. Zingatiya haya, kuwa na kibali halali cha kuwa nchini, usibebe madawa ya kulevya, usibebe vyakula vilivyopikwa na muhimu saana, kuwa na hela za matumizi.

Kama una sehemu ya kulala na hela ya usafiri, basi utapata kuishi hapa ufini na kuendeleza maisha yako.

Pili, maisha yataendelea tu kama utaweza kufanya kazi hapa. Hivi ni kumaanisha kwamba, kuwa na kibali sahihi cha kukuwezesha kufanya kazi. Utapata msaada kutoka kwa polisi. Kila kitu kiko kwenye mfumo, yaani hata kama ni kibarua lazma ulipe ushuru. Hi ina maana kwamba, hamna kazi za mlango wa nyuma. Lazma serikali ijua ulipo na unachokifany.

Mimi naishi na familia ya mfini mmoja hapa na kwa kweli nimekubalika. Nala, nanywa na nalala. Hii ni njia moja ya kujua vile vitu vinafanywa hapa. Kupata nafasi tofauti tofauti na pia kuweza kupata mahusiano tofauti tofauti.

Ukiwa na kibali cha kuishi,uweze kuongea kifini, basi utaweza kulipwa kati ya euro 8 kuendelea kwa lisaa limoja, kulingana na kazi unayoifanya.

Niko kwenye harakati za kujua mengi na pindi tu, nitakujuza.

Ungana nami kwenye mtandao

twitter @rawbeenakenya. Facebook :rawbeena kenya. Instagram: rawbeena kenya

kama una maswali zaidi

Vaim ja keha – Soome valitsus pakub super menüüd ajaviiteks

Julkaistu September 30th, 2015 | Kirjoittanut
Yana Herrala

Kategoriassa

salsa 1 tordi valmistamise kursus salsa2

Vaim ja keha – Soome valitsus pakub super menüüd ajaviiteks

Üks parim asi Soomes on ajaviite- ja sportimisvõimaluste rohkus ja taskukohasus. Soome kolides võivad paljud meist tunda algul, et on igav; räägitakse võõras keeles ja ei ole sõpru, kellega koos lõbusalt aega veeta. Seepärast sooviksin tuua näiteid enda elust, kuidas seda värvikamaks muuta.

MAMA AFRICA BAND

201104_MamaAfricaSDPParty

[sc_embed_player_template1 fileurl=”https://googledrive.com/host/0BwSfQp4jdQTVcjJZUTByM19tVUU/Mamar%20Diop%20Mama.mp3″]

The African Drums are more than just a musical instrument in the African Culture. It is sometimes used as a mean of communication. Mamar Diop of Mama Africa Band originally from Senegal discusses the story behind the creation of the Band. He currently lives in Helsinki.

Fran Poljak – young filosofer

Julkaistu June 13th, 2013 | Kirjoittanut
admin

Kategoriassa

576761_565884793451820_1033963051_nAna Poljak interviewed her son Fran Poljak in Croatian on what does friendship means to him.They also talked about bacteria.Tune in

[sc_embed_player_template1 fileurl=”https://googledrive.com/host/0BwSfQp4jdQTVcjJZUTByM19tVUU/2013-05-06-Ana-Fran-CROATIA-Bakteria-Friendship.mp3″]

      1. Listen on mobile devise
.

Ana talked to Radio Uusjussi on the expectations of Croatian on joining the EU. Tune in

[sc_embed_player_template1 fileurl=”https://googledrive.com/host/0BwSfQp4jdQTVcjJZUTByM19tVUU/AAna%20Croatia.mp3″]. L

      2. isten on mobile devise.

Marhaba Suomi

Julkaistu February 18th, 2013 | Kirjoittanut
Yana Herrala

Kategoriassa
1.
لقاء عن طريق الهاتف مع احد اعضاء رابطة شباب العراق في تامبرا والمسئول عن فريق تامبرا لكرة القدم  الاستاذ والاخ علي كاظم
تحدثنا به عن ابداعات شباب تامبرا والمواضيع التي يعانون منها والى ماذا يتطلع الشاب العراقي
[sc_embed_player_template1 fileurl=”https://googledrive.com/host/0BwSfQp4jdQTVcjJZUTByM19tVUU/ali%20fainal.mp3″] 
for mobile devise
      1. here
2.
حلقه مميزه
قدمنا لكم حلقه جميله من جهود المستمعين للبرنامج وكانت فيها بعض الاخبار الفنلنديه وبعض المعلومات العلميه التي نستطيع عن طريقها التخلص من الاكتئاب
بالاضافه الى المزيد من المتعه في برنامج (مرحبا سوامي) ننتظر مشاركات مستمعينا الاعزاء على الايميل الخاص بالراديوا radiosmy@pori.fi 
 [sc_embed_player_template1 fileurl=”https://googledrive.com/host/0BwSfQp4jdQTVcjJZUTByM19tVUU/finish%20mohammed.mp3″]
for mobile devise
      2. here